Lugha Nyingine
Ghala la nafaka katikati mwa China lakaribishwa mavuno ya ngano (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 25, 2022
Hivi Sasa , eneo la kusini la Mkoa wa Henan linakaribia kuingia katika kipindi cha mavuno ya nafaka ya majira ya joto. Habari zinasema kuwa, eneo la nafaka la majira ya joto la mwaka huu mkoani Henan litakuwa zaidi ya hekta milioni 56.6, karibu sawa na mwaka uliopita.
(Mpiga picha: Zhang Haoran/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma