Lugha Nyingine
Mapambo ya rangi ya Mji wa Ostend, Ubelgiji (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 20, 2022
Picha iliyopigwa Mei 18 ikionesha picha iliyochorwa kwenye ukuta wa jengo moja huko Ostend, Ubelgiji Mei 18. |
Ostend ni mji wa pwani wa magharibi mwa Ubelgiji. Katika miaka ya hivi karibuni, wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani wametumia kuta za majengo mengi ya mji huo kama "turubai" na kuchora picha mbalimbali zinazovutia kwenye ukuta na grafiti, na kuacha vivutio kwa mji huo. (Mpiga picha: Zheng Huansong/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma