Lugha Nyingine
Mandhari nzuri ya majira ya mchipuko katika Bustani ya Gulhane, Istanbul
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 26, 2022
Watalii wakifurahia mandhari nzuri ya majira ya mchipuko na kutembea katika Bustani ya Gulhane huko Istanbul Aprili 25. |
Siku za hivi karibuni, maua ya Bustani ya Gulhane yamechanua vizuri na kuwavutia watalii wengi kuja kuitazama. Bustani hiyo iko katikati ya mji wa Istanbul na karibu na Jumba la Topkapi, ambalo iliwahi kuwa bustani ya nje ya Kasri la Topkapi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma