Lugha Nyingine
Pepo ya Bustani ya Panda katika Majira ya Mchipuko (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 25, 2022
Panda akila mashina ya mianzi katika kituo cha Shenshuping, Wolong kwenye Kituo cha Uhifadhi na Utafiti wa Panda cha China, Aprili 24. |
Wakati wa majira ya mchipuko hali ya hewa ni safi, panda kwenye kituo hicho wanapumzika, kucheza au kujiburudisha na majira haya mazuri.
(Mpiga picha: Xu Bingjie/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma