Lugha Nyingine
Italia yafanya maonyesho ya maua ya Tulip (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 15, 2022
Tarehe 12, Aprili ya saa za huko, maonyesho ya Tulip yalifanyika Vimoderoni, Italia. Maonesho yalichukua eneo la mita za mraba eflu arobaini na kwa jumla maua ya Tulip laki 3 ya aina 50 tofauti yalioneshwa kwa watalii kutembelea.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma