Lugha Nyingine
Mandhari nzuri ya majira ya mchipuko katika Bustani ya Yuyuantan ya Beijing (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 13, 2022
Watalii wakifurahia mandhari nzuri ya majira ya mchipuko na matembezi katika Bustani ya Yuyuantan ya Beijing. (Mpiga picha: Bi Shanghong) |
Maua ya aina mbalimbali yanachanua vizuri kwenye Bustani ya Yuyuantan. Mandhari hii kama picha za kuchorwa inawavutia watalii wengi kuja kuitazama na kujiburudisha.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma