Lugha Nyingine
Siku ya wanyamapori na mimeapori: kurejesha viumbe muhimu na kurejesha mfumo wa ikolojia (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2022
Huyu ni picha ya simba iliyopigwa katika Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara ya Kenya Agosti 30, Mwaka 2021. (Xinhua/Mpiga picha: Dong Jianghui) |
Machi 3 ni siku ya wanyamapori na mimeapori. Kaulimbiu ya siku hiyo kwa Mwaka 2022 ni “kurejesha viumbe muhimu na kurejesha mfumo wa ikolojia ” ambayo inalenga kuhamasisha watu kufuatilia hali ya kulinda wanyamapori walioko kwenye hatari kubwa ya kutoweka, na mimeapori iliyoko kwenye hatari ya kutoweka.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma