Lugha Nyingine
Zhangjiakou mkoani Hebei yafanya maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2022
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imemalizika siku chache zilizopita, na viwanja vya vya michezo vya Yunding katika eneo la mashindano la Zhangjiakou mkoani Hebei vimeingia haraka kwenye kipindi cha maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, ambayo itafanyika hivi karibuni. (Mpiga picha:Wu Diansen/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma