Lugha Nyingine
Maua ya Mmea wa Rape yachanua na kukaribisha Majira ya Mchipuko (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2022
Siku za hivi karibuni, maua ya Mmea wa Rape yanachanua vizuri kwenye shamba kubwa yakionekana kuwa mandhari nzuri ya majira ya mchipuko katika Kisiwa cha Guangyang cha Eneo la Nan’an la Mjia wa Chongqing nchini China, ambayo inavutia watalii na wapiga picha wengi kuja kuitazama na kuburudika.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma