Lugha Nyingine
Maandalizi ya kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China yafanyika katika hali motomoto (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2022
Watu wakichagua na kununua mapambo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwenye Soko la Mwaka Mpya katika Mji wa Longnan wa Mkoa wa Gansu, Januari 27. (Mpiga picha:Ran Chuangchang) |
Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China wa Chuimilia inakaribia huku hali ya kusherehekea Mwaka Mpya kila mahali nchini China ikiwa na pilikapilika zaidi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma