Lugha Nyingine
Vitoto vya chuimilia vya kupendeza vyaonekana rasmi (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2022
Vitoto vitatu vyeupe vya chuimilia vya kupendeza ambavyo kwa sasa vina umri wa mwezi mmoja katika Bustani ya Wanyama ya Longzhimeng ya Wilaya ya Taixing ya Mji wa Huzhou mkoani Zhejiang nchini China vilikutana na watalii rasmi na kuongeza hali ya kufurahisha katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa jadi wa China wa Chuimilia. (Mpiga picha: Yi Fan/Picha kutoka CFP)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma