Lugha Nyingine
Vijiji vinavyopendeza—Vyatia Nuru Usiku wa Mlima wa Damiao (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2021
Katika miaka ya hivi karibuni, mradi wa “kutia nuru vijiji” unatekelezwa kwa juhudi kwenye Wilaya inayojiendesha ya kabila la Wamiao ya Rongshui ya Mji wa Liuzhou, Mkoa wa Guangxi, ili kustawisha vijiji na kuondoa umaskini. Mradi huo ulisaidia kufunga taa nyingi za barabarani zinazotumia nishati ya Jua kwenye vijiji mbalimbali, ambazo zinatia nuru usiku wa vijiji vya huko Mlima wa Damiao. Na kuleta hali ya kupata manufaa na furaha kwa wakazi wa vijiji hivyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma