Lugha Nyingine
Jezi No.8 Maalum kwa Xi Jinping
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2024
Novemba 2014, Rais wa China Xi Jinping alipokea jezi kama zawadi kutoka kwa nyota wa mchezo wa gori Ma'a Nonu huko Wellington, New Zealand.
Ni jezi nyeusi ya mchezo wa gori yenye jina "XI JINPING" na namba "8" ikiwa imechapishwa nyuma.
Kama "mpenzi wa michezo" mwenye shauku, Rais Xi amekuwa akipokea zawadi nyingi za michezo kutoka kwa nchi mbalimbali. Katika mazingira mbalimbali ya kidiplomasia, Rais Xi ametumia fursa ya michezo kila mara kuipelekea China karibu na dunia, akiifanya kuwa alama ya "diplomasia yenye umaalum wa Xi."
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma