Lugha Nyingine
Zawadi Maalum kutoka kwa Xi Jinping
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2024
Novemba 11, 2014, Mkutano wa 22 wa Viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC) ulifanyika kando ya Ziwa Yanqi mjini Beijing, China. Ili kuwakaribisha viongozi waliohudhuria katika mkutano huo, Rais wa China Xi Jinping alichagua mtungi wa Jingtailan wa China, wenye jina la "Sihaishengping," ikimaanisha "amani ya Dunia," kama zawadi ya China kwa wageni.
Rais Xi alisema chombo hicho siyo tu kinawakilisha historia ndefu na ustaarabu wa zama hizi wa Taifa la China, bali pia ni alama ya kufanya mawasiliano, kufundishana na kutafuta maendeleo kwa pamoja kati ya ustaarabu na tamaduni tofauti.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma