<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Bandari ya Mombasa nchini Kenya yarekodi Ongezeko la Mizigo licha ya Changamoto duniani

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2024

    Gati la makontena la Bandari ya Mombasa. (Picha/VCG)

    Gati la makontena la Bandari ya Mombasa. (Picha/VCG)

    MOMBASA – Maafisa wa Mamlaka ya Bandari ya Kenya (KPA) wamesema Jumanne kuwa Bandari ya Mombasa, ambayo ni bandari kuu ya Kenya ilishughulikia kupitisha mizigo ya tani milioni 29.92 katika miezi tisa ya kwanza ya mwaka 2024, ikilinganishwa na tani milioni 26.68 katika kipindi kama hicho mwaka 2023.

    KPA imesema kuwa kiasi hicho kinaashiria ongezeko kubwa la tani milioni 3.24, sawa na asilimia 12.1, ikionyesha uhimilivu na uwezo wa bandari hiyo kushughulikia ongezeko la kiasi cha biashara licha ya mazingira ya kiuchumi yenye changamoto duniani.

    Mkurugenzi wa KPA Kapteni William Ruto amehusisha ongezeko hilo na juhudi na kujitolea kwa wafanyakazi, pamoja na uungaji mkono wa washirika na wadau.

    KPA imeripoti ongezeko kubwa katika usafirishaji mizigo inayopita (transit cargo), huku kiasi cha jumla cha mizigo hiyo kikifikia tani milioni 9.83 ikilinganishwa na tani milioni 8.36 mwaka 2023, tofauti ya tani milioni 1.47, au asilimia 17.6.

    Ripoti hiyo imesema Uganda imetoa mchango muhimu katika ongezeko hilo, ikichangia ongezeko la tani milioni 1.13, au asilimia 21.9 ya mizigo yote

    KPA imesema, Bandari ya Mombasa bado ni kituo muhimu cha biashara cha Afrika Mashariki, na mafanikio hayo yenye kutia matumaini yanaonyesha umuhimu wake wa kimkakati katika kuwezesha biashara na uunganishaji katika kanda nzima.

    Wakati huo huo, KPA imehusisha ongezeko hilo na msongamano wenye kuleta bahati za usafirishaji kwenye pwani ya mashariki ya Afrika kutokana na kuchepushwa kwa meli karibu na Cape of Good Hope Afrika Kusini na masuala ya msongamano yanayoendelea katika bandari za Dar es Salaam na Durban.

    Wachambuzi wanasema, huku kukiwa na kuongezeka kunakoendelea kwa kiasi cha mizigo na uwekezaji wa miundombinu unaoendelea wa bandari hiyo, iko katika mwelekeo sahihi wa kutimiza lengo lake la mwaka 2024.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>