久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Wataalamu wa teknolojia watoa wito wa juhudi za pamoja kuimarisha usalama wa mtandaoni barani Afrika

(CRI Online) Oktoba 17, 2024

Wataalamu wa mambo ya kidijitali wanaoshriki kwenye Jukwaa la Usalama wa Mtandaoni la Afrika Mwaka 2024 lililoanza jana Jumatano katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, wametoa wito wa juhudi za pamoja ili kulinda miundombinu ya kidijitali barani Afrika dhidi ya ongezeko la matishio ya mtandaoni duniani.

Akizunguma katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, William Baraza amesisitiza kuwa, uratibu kati ya nchi za Afrika ni muhimu katika kukabiliana na ongezeko la matishio ya mtandaoni yanayolenga serikali na wafanyabiashara katika bara hilo.

Waziri wa Teknolojia ya Mawasiliano na Uvumbuzi wa nchini Rwanda, Paula Ingabire ametoa wito wa kuwa na sera mwafaka za usalama wa mtandaoni barani Afrika ili kuondoa pengo la ujuzi linalorudisha nyuma ukuaji wa kidijitali katika bara hilo.

Pia amesisitiza haja ya juhudi za pamoja ili kwa ufanisi kukabiliana na matishio ya usalama wa mtandaoni na kuhakikisha mustakabali wa baadaye wa Afrika ambao ni salama na jumuishi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>