久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi Jinping ahimiza kuendeleza mfumo wa nadharia ya mambo ya kisasa ya kijeshi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 16, 2024

BEIJING - Rais Xi Jinping wa China katika maagizo kwenye mkutano wa kazi kuhusu nadharia ya mambo ya kijeshi uliofanyika Beijing Jumatatu na Jumanne amehimiza juhudi za kuimarisha kikamilifu kazi kuhusu nadharia ya mambo ya kijeshi kwenye safari mpya katika zama mpya, na kuendeleza mfumo wa nadharia ya mambo ya kisasa ya kijeshi wenye umaalum wa China.

Rais Xi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) amesisitiza kuwa ujenzi wa mambo ya kisasa kuhusu nadharia ya mambo ya kijeshi ni sehemu muhimu ya ujenzi wa mambo ya kisasa ya ulinzi wa taifa na jeshi, na umetandika njia kwa ajili ya kujenga jeshi lenye nguvu.

Rais Xi amesema kuwa mapinduzi mapya ya kijeshi yanatokea kwa kasi kubwa duniani, ambapo mahitaji ya usalama na maendeleo ya China yanapitia mabadiliko makubwa, amesisitiza kuwa ni jambo la dharura zaidi kufikia lengo la kujenga jeshi lenye nguvu, na ni lazima kuimarisha kwa pande zote kazi husika ya nadharia kuhusu mambo ya kijeshi.

Amesisitiza umuhimu wa kuunganisha kanuni za msingi za Umarksi na uzoefu wa kuendeleza majeshi ya umma, na kuingiza ubora wa utamaduni mzuri wa jadi wa China katika mambo ya kijeshi.

Rais Xi ametaka kufanya juhudi za kuboresha mpango wa jumla kuhusu utendaji wa pande mbalimbali na kwenye ngazi tofauti za kazi zinazohusika za nadharia ya mambo ya kijeshi, kukamilisha utaratibu wa utafiti husika na kuongeza matumizi ya nadharia ya mambo ya kijeshi, ili kutoa uungaji mkono na mwongozo wa kisayansi kwa ajili ya kuharakisha kupeleka jeshi la China kufikia kwenye kiwango cha maendeleo ya juu duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>