久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi asisitiza kuwezesha diplomasia kati ya raia na raia ifanye kazi yake pekee

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2024

Rais Xi Jinping wa China akikutana na wageni wanaohudhuria Mkutano wa Urafiki wa Kimataifa wa China na mkutano wa kuadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwa  Shirika la Urafiki wa Watu wa China kwa Nchi za Nje kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, , Oktoba 11, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amekutana na wageni kutoka nchi za nje wanaohudhuria Mkutano wa Urafiki wa Kimataifa wa China na mkutano wa kuadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Urafiki wa Watu wa China kwa Nchi za nje mjini Beijing siku ya Ijumaa ambapo amepiga picha ya pamoja na wageni hao na kupongeza sana mchango uliotolewa kwa muda mrefu na marafiki wa kimataifa kwa ajili ya kuimarisha urafiki na China.

Amesisitiza kuwa urafiki kati ya watu ni msingi wa uhusiano wa kimataifa ulio thabiti na wa muda mrefu, na ni msukumo usiolegalega kwa kuhimiza amani na maendeleo ya Dunia. Katika miaka 75 iliopita tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China, Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kimewaongoza watu wa China kufuata njia ya ujenzi wa mambo ya kisasa ambayo siyo tu imejiendeleza bali pia imenufaisha Dunia.

Rais Xi amesema, kwa kutazama siku zilizopita katika safari hiyo, mafanikio ya China katika sekta mbalimbali yasingepatikana bila kuungwa mkono na watu kutoka nchi nyingine. Marafiki wengi wa kimataifa wameshirikiana na watu wa China katika shida na raha. Mashirika, taasisi na watu wengi binafsi wa kigeni wamefanya juhudi za kuhimiza na kushiriki kwenye ujenzi wa mambo ya kisasa ya kijamaa wa China, kufanya ushirikiano wa kunufaishana na kupata maendeleo kwa pamoja na kutoa mchago muhimu kwa ajili ya kuhimiza mawasiliano ya kirafiki na ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali duniani, ameongeza.

"Tutakumbuka daima mchango muhimu mliotoa kwa China na urafiki wa dhati unaoendelea kutokana na juhudi zenu pamoja na watu wa China," amesema Rais Xi.

Akisisitiza kwamba Dunia kwa mara nyingine iko kwenye njia panda ya kihistoria, kwa kukabiliwa na mabadiliko ambayo hayajatokea katika miaka mia moja iliyopita, kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja ni mwelekeo sahihi wa kusonga mbele kwa watu wa nchi zote.

Rais Xi ametoa mapendekezo matatu, kwanza, kufuata moyo wa kubeba wajibu wa pamoja kwa wakaazi wa sayari moja, pili, kushikilia kanuni ya ushirikiano wa kunufaishana ili kupata maendeleo kwa pamoja, kuongeza nguvu za pamoja kwa kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja, na tatu, kuwa na dhana ya uwazi na jumuishi, kukumbatia ustaarabu wa aina zote ili kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja.

Watu takriban 200 wamehudhuria mkutano huo, wakiwemo viongozi wa zamani wa kisiasa kutoka nchi mbalimbali, watu kutoka familia za kifalme, wakuu wa mashirika ya urafiki wa kimataifa, na marafiki wa kimataifa wa China.?

Rais Xi Jinping wa China akipiga picha  pamoja na wageni wanaohudhuria Mkutano wa Urafiki wa Kimataifa wa China na mkutano wa kuadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Urafiki wa Watu wa China kwa Nchi za Nje kwenye Jumba la Mikutano ya Umma  la Beijing, Oktoba 11, 2024. (Xinhua/Yao Dawei)

Rais Xi Jinping wa China akikutana na wageni wanaohudhuria Mkutano wa Urafiki wa Kimataifa wa China na mkutano wa kuadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Urafiki wa Watu wa China kwa Nchi za Nje kwenye Jumba la Mikutano ya Umma  la Beijing, Oktoba 11, 2024. (Xinhua/Shen Hong)

Rais Xi Jinping wa China akikutana na wageni wanaohudhuria Mkutano wa Urafiki wa Kimataifa wa China na mkutano wa kuadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwa  Shirika la Urafiki wa Watu wa China kwa Nchi za Nje kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing,  Oktoba 11, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>