久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Wanafunzi 74 walazwa hospitali kutokana na kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Afrika Kusini

(CRI Online) Oktoba 11, 2024

Idara ya afya ya Jimbo la Gauteng nchini Afrika Kusini imesema, wanafunzi 74 wa eneo la Rand Magharibi jimboni humo wanapatiwa matibabu kufuatia kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu jana siku ya Alhamisi.

Idara hiyo imesema wanafunzi wa kike takriban 74 kutoka Shule za Sekondari za Fochville, Badirile na ya Ufundi Stadi ya Wedela wameumwa tumbo na kuharisha waliposhiriki kwenye kambi ya mafunzo.

Taarifa iliyotolewa na idara hiyo imesema wanafunzi wote wanaoumwa wamepelekwa hospitalini kwa ajili ya kuchunguzwa zaidi, na wengi wao sasa wana hali nzuri.

Katika siku za karibuni Afrika Kusini imekuwa ikishuhudia matukio mengi ya sumu kwenye chakula miongoni mwa watoto. Wikiendi iliyopita, watoto watano walifariki dunia kwa kula chakula kilichohisiwa kuwa na sumu huko Naledi, Johannesburg.

Siku ya Jumatano, wanafunzi 35 kutoka Malamulele, Jimbo la Limpopo, walipelekwa hospitalini kufuatia kula chakula kilichohisiwa kuwa na sumu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>