久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi Jinping ahimiza Jumuiya ya Msalaba Mwekundu ya China kuboresha huduma za ubinadamu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2024

Mkutano Mkuu wa 12 wa Jumuiya ya Msalaba Mwekundu ya China (RCSC) ukifanyika Beijing, mji mkuu wa China, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Gao Jie)

Mkutano Mkuu wa 12 wa Jumuiya ya Msalaba Mwekundu ya China (RCSC) ukifanyika Beijing, mji mkuu wa China, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Gao Jie)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping katika barua yake kwa Jumuiya ya Msalaba Mwekundu ya China (RCSC) kwenye Mkutano Mkuu wake wa 12 uliofunguliwa mjini Beijing siku ya Jumatano, amehimiza jumuiya hiyo kujikita katika maendeleo yenye sifa bora na kuongeza zaidi uwezo wake katika kutoa huduma za ubinadamu.

Katika barua yake hiyo, Rais Xi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), amewasilisha ametoa salamu zake za upendo kwa wafanyakazi, wahusika na watu wote wa kujitolea wa jumuiya za Msalaba Mwekundu nchini China na kuelezea matarajio yake kwa juhudi zao za baadaye.

Akisifu RCSC kuwa daraja na kiunganishi kati ya Chama na serikali na umma katika nyanja ya ubinadamu , Rais Xi ametoa wito kwa jumuiya hiyo kuzidisha mageuzi na uvumbuzi, kuongeza uaminifu wake, na kushiriki kwa juhudi na kuunga mkono mambo ya kimataifa ya ubinadamu.

Ameitaka RCSC kutoa mchango mkubwa kwa ajili ya kuendeleza kazi ya kuijenga China kuwa nchi kubwa ya mambo ya kisasa ya kijamaa na kufikia ustawishaji wa kitaifa katika sekta zote kupitia ujenzi wa mambo ya kisasa wa China. Rais Xi pia ameihimiza RCSC kuchangia zaidi kwa mambo ya amani na maendeleo ya binadamu.

Ametoa wito kwa wafanyakazi, wahusika na watu wote wa kujitolea wa jumuiya za Msalaba Mwekundu nchini China kuendelea kushikilia nia yao ya awali na kujitahidi kuandika ukurasa mpya katika maendeleo yenye sifa bora ya mambo ya Msalaba Mwekundu.

Barua hiyo ya Rais Xi imesomwa kwenye mkutano huo mkuu siku ya Jumatano. Naibu Waziri Mkuu wa China, Han Zheng alihudhuria ufunguzi wa mkutano huo na kukutana na wajumbe.

Kwenye ufunguzi wa mkutano huo siku ya Jumatano, vikundi 32 na watu 10 walipokea tuzo kwa mafanikio bora.

Jumuiya ya msalaba mwekundu ya China iliyoanzishwa mwaka 1904, ni jumuiya yenye historia ndefu zaidi ya ubinadamu ya China.

Mkutano Mkuu wa 12 wa Jumuiya ya Msalaba Mwekundu ya China (RCSC) ukifanyika Beijing, mji mkuu wa China, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Wang Ye)

Naibu Waziri Mkuu wa China Liu Guozhong ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Jumuiya ya Msalaba Mwekundu ya China (RCSC) kwa niaba ya Kamati Kuu ya Chama CPC na Baraza la Serikali la China Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Gao Jie)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>