久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mauzo ya nje ya kahawa ya Uganda nchini China yaongezeka kwa sababu ya ubora wa buni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2024

KAMPALA - Uuzaji wa nje wa kahawa wa Uganda nchini China umeongezeka mara tano mwezi Agosti ikilinganishwa na mwezi uliopita, ripoti ya Mamlaka ya Maendeleo ya Kahawa ya Uganda (UCDA) imeeleza.

Ripoti hiyo ya hivi punde zaidi ya UCDA, iliyotolewa Jumatatu, imeeleza kuwa mauzo hayo ya nje ya kahawa nchini China yameongezeka kutoka magunia 2,100 mwezi Julai hadi magunia 11,580 mwezi Agosti.

"Uuzaji nje wa kahawa wa Uganda nchini China unaongezeka, ukionyesha kuthaminiwa kwa buni zetu za ubora wa juu," imesema ripoti hiyo.

Judyth Nsababera, balozi mdogo wa Uganda mjini Guangzhou, China, ameliambia Shirika la Habari la China, Xinhua kwa njia ya simu kwamba ongezeko kubwa la mauzo hayo ya nje ni matokeo ya uhusiano imara wa pande mbili, mkakati madhubuti wa masoko, na kuimarika kwa ubora wa kahawa.

"Ofisi yangu imekuwa ikinadi kahawa kwa wingi nchini China. Pia kuna ongezeko la mahitaji ya kahawa kwani Wachina wengi zaidi wanafurahia kahawa, hasa kizazi cha vijana," Nsababera amesema.

"Kahawa yetu ina ladha ya hali ya juu. Inaendana sana na hali tofauti za unywaji, ikimaanisha kuwa unaweza kuichanganya na kahawa ya kiwango cha chini, na itaboresha ladha mara moja" ameongeza.

Nsababera amesema kuwa Uganda, pamoja na mji wa China wa Xiamen, zimepanga kuandaa kwa pamoja maonyesho ya kahawa mwezi Novemba.

Ripoti hiyo ya UCDA pia imeonyesha kuwa China sasa ni miongoni mwa masoko 20 bora kwa kahawa ya Uganda. Kwa ujumla, mauzo ya nje ya kahawa ya Uganda yaliingiza dola za kimarekani bilioni 1.35 kati ya Septemba 2023 na Agosti 2024.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>