<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Ukuaji wa miji unaendelea kwa kasi katika miaka 75 iliyopita

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2024

    Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Oktoba 2023 ikionyesha mwonekano wa mji wa Eneo Jipya la Lanzhou katika Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China. (Xinhua/Ma Xiping)

    Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Oktoba 2023 ikionyesha mwonekano wa mji wa Eneo Jipya la Lanzhou katika Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China. (Xinhua/Ma Xiping)

    BEIJING - Takwimu zilizotolewa na Idara ya takwimu ya China zimeonesha kuwa, ukuaji wa miji nchini China, ambao unapima kiasi cha idadi ya wakazi wa kudumu wa mijini umepanua kwa asilimia 55.52 kutoka mwisho wa Mwaka 1949 hadi asilimia 66.16 mwishoni mwa Mwaka 2023.

    Katika miaka 75 iliyopita tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China, China imepitia mchakato mkubwa na wa haraka zaidi wa ukuaji wa miji katika historia ya dunia, Idara hiyo ya takwimu imesema katika ripoti yake.

    Kulikuwa na miji 129 tu nchini China mwishoni mwa 1949, ikiwa na jumla ya watu milioni 39.49. Idadi ya miji ilikuwa imefikia 694 mwishoni mwa mwaka 2023, wakati idadi ya watu ya miji ya ngazi ya mkoa na ya ngazi ya juu ilikuwa imefikia milioni 673.13. Miongoni mwao, kulikuwa na miji 29 kila mmoja ukiwa na idadi ya watu inayozidi milioni 5 na miji 11 kila mmoja ukiwa na watu zaidi ya milioni 10.

    Hali inayostahiki kufuatiliwa ni kwamba, eneo la magharibi la China lililoko nyuma kimaendeleo limeanza kujitokeza kwa kasi kimaendeleo, likiwakilisha mchakato wa ukuaji wa miji wenye uwiano zaidi. Miongoni mwa miji 11 ya ngazi ya mikoa ambayo imeongezwa tangu Mwaka 2011, tisa kati yao iko katika eneo hilo la magharibi.

    Kadiri ukuaji wa miji unavyoendelea, China imeondoa karibu vikomo vyote vya usajili wa mkaazi katika miji ambayo kila mmoja una wakaazi wa kudumu wasiozidi milioni 3, na kuifanya iwe rahisi zaidi kwa wale wanaotoka vijijini kuishi kwa kudumu katika miji husika.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>