久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Wanasayansi wa China waonesha kwa umma ?Mfano mkubwa wa kwanza duniani wa Lugha ?wenye vielelezo vingi katika sayansi za kijiografia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2024

Shughuli ya kuoneshwa kwa umma kwa Sigma Jiografia, Mfano mkubwa wa Lugha wenye vielelezo vingi ya sayansi ya kijiografia (LLM) ikifanyika Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 19, 2024. (Xinhua/Li Xin)

Shughuli ya kuoneshwa kwa umma kwa Sigma Jiografia, Mfano mkubwa wa Lugha wenye vielelezo vingi ya sayansi ya kijiografia (LLM) ikifanyika Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 19, 2024. (Xinhua/Li Xin)

BEIJING – Mfano mkubwa wa Lugha wenye vielelezo vingi ya Sayansi ya kijiografia (LLM), ambao ni wa kwanza wa aina yake duniani, umeoneshwa kwa umma mjini Beijing siku ya Alhamisi, ambao unaweza kusaidia ufungamanishaji wa jiografia na akili bandia na kusaidia kuharakisha ugunduzi wa kijiografia.

Mfano huo uliopewa jina la Sigma Jiografia, umebuniwa na timu ya watafiti kutoka Taasisi ya Sayansi ya Kijiografia na Utafiti wa Maliasili (IGSNRR), Taasisi ya Utafiti wa Uwanda wa Juu wa Tibet na Taasisi ya Utafiti wa Otomesheni zote zilizo za Taasisi Kuu ya Sayansi ya China, na mashirika mengine.

Jiografia ya Sigma inaweza kujibu maswali ya kitaalamu ya kijiografia, kuchambua makala za kijiografia, kujibu maswali na uchambuzi wa kina wa data za kijiografia na kuchora ramani za mambo mbalimbali, amesema Su Fenzhen, naibu mkurugenzi wa IGSNRR.

Ikilinganishwa na LLM za jumla, Jiografia ya Sigma ina uelewa wa kina wa ruwaza za lugha, istilahi mahsusi za kikoa na ujuzi wa kitaalamu katika nyanja za jiografia, ikiwezesha kushughulikia vizuri masuala maalum, Su amesema. Mbali na kujibu maswali ya kijiografia, Sigma Jiografia inaweza pia kushabihiana na majibu ya maandishi yanayotokana na picha za kijiografia za mazingira, ramani za mambo mahsusi au chati za michoro ili kusaidia watumiaji kuelewa majibu ya maandishi kwa njia oneshi na dhahania zaidi, ameongeza.

Kazi ya usaidizi wa utafiti iliyotengenezwa na timu hiyo, kwa kuzingatia Jiografia ya Sigma, inaweza kukamilisha michakato kama vile uelewa wa dhana, upataji wa data, uchambuzi wa maelezo na uchoraji ramani kulingana na maelekezo ya mtumiaji, na hatimaye kutoa chati za kitaalamu za kijiografia ambazo watumiaji wanahitaji.

Picha hii iliyopigwa Septemba 19, 2024 ikionyesha chumba cha ufanyaji kazi wa Sigma Jiografia, Modeli ya Lugha Kubwa yenye vielelezo vingi ya Sayansi ya kijiografia (LLM). (Xinhua/Li Xin)

Picha hii iliyopigwa Septemba 19, 2024 ikionyesha chumba cha ufanyaji kazi wa Sigma Jiografia, Modeli ya Lugha Kubwa yenye vielelezo vingi ya Sayansi ya kijiografia (LLM). (Xinhua/Li Xin)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>