久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China wajiandaa kwa Kimbunga Pulasan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2024

Vizuizi vikiwa vimewekwa katika eneo la kivutio cha watalii la Jinshatan katika Mji mdogo wa Shitang, Mji wa Wenling wa Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 19, 2024. (Picha na Xu Weijie/Xinhua)

HANGZHOU - Mamlaka husika katika Mkoa wa Zhejiang mashariki mwa China zimechukua tahadhari dhidi ya kimbunga Pulasan, kimbunga cha 14 mwaka huu kuikumba China, ambacho kinatarajiwa kuleta mafuriko na mvua katika mkoa huo ambapo saa 3:30 asubuhi siku ya Alhamisi, Zhejiang ilipandisha mwitikikio wake wa dharura kwa kimbunga hicho hadi Ngazi ya III.

Kutokana na hali hiyo, huduma zote 72 za njia za feri za abiria katika mji wa Zhoushan zimesitishwa. Katika mji wa Ningbo, miradi jumla ya 20 ya ujenzi wa pwani imesitishwa, huku vyombo 352 vinavyohusika na miradi hiyo vikiwa vimehamishiwa kwenye maji salama kwa ajili ya kuhifadhiwa.

Kituo cha Kitaifa cha Hali ya Hewa cha China kimehuisha tahadhari yake ya manjano dhidi ya Kimbunga Pulasan siku ya Alhamisi asubuhi.

Kimbunga Pulasan kilikuwa kiko juu ya Bahari ya China ya Mashariki, umbali wa kilomita takriban 320 kusini mashariki mwa Wilaya ya Xiangshan huko Ningbo, saa 4 asubuhi siku ya Alhamisi. Kinatabiriwa kusonga kuelekea kaskazini-magharibi kwa kasi ya km 40 hadi 45 kwa saa, na nguvu yake ikiongezeka muda hadi muda.

Kimbunga hicho kilikuwa kikitarajiwa kutua katika eneo la pwani kutoka Xiangshan huko Zhejiang hadi eneo la Pudong mjini Shanghai siku ya Alhamisi alasiri au Alhamisi jioni, kituo hicho kimesema.

Bebinca, kimbunga cha 13 mwaka huu kuikumba China, kilitua Shanghai Jumatatu. Kinaaminika kuwa kimbunga kikali zaidi kukumba mji huo katika miaka 75.

Mapema mwezi huu, kimbunga Kikubwa Yagi, ambacho ni kimbunga kikali zaidi cha msimu wa vuli kuwahi kuikumba China tangu 1949, kiliua watu wanne na kujeruhi 95 kilipopitia mkoa wa kisiwa wa Hainan, kusini mwa China.

Picha ya droni iliyopigwa Septemba 19, 2024 ikionyesha mwonekano wa Bandari ya Ningbo-Zhoushan katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China. (Xinhua/Weng Xinyang)

Picha ya droni iliyopigwa Septemba 19, 2024 ikionyesha mwonekano wa Bandari ya Ningbo-Zhoushan katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China. (Xinhua/Weng Xinyang)

Nyumba zilizochakaa zikifanyiwa ukaguzi wa usalama kabla ya kimbunga kuwasili katika Kijiji cha Quanfan, Mji Mdogo wa Zhaojia wa Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 19, 2024. (Xinhua/Xu Yu)

Mkaazi kikongwe akihamishwa hadi mahali salama zaidi kabla ya kimbunga kuwasili katika Kijiji cha Quanfan, Mji Mdogo wa Zhaojia wa Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 19, 2024. (Xinhua/Xu Yu)

Afisa wa serikali akisaidia wakulima kuimarisha vifaa kwenye bwawa katika Kijiji cha Nantang, Kitongoji cha Jiantiao cha Wilaya ya Sanmen katika Mji wa Taizhou, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 19, 2024. (Xinhua/Weng Xinyang)

Wafanyikazi wakiimarisha kingo kwenye bandari katika Kitongoji cha Jiantiao cha Wilaya ya Sanmen katika Mji wa Taizhou, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 19, 2024. (Xinhua/Weng Xinyang)

Wafanyikazi wakiimarisha kingo kwenye bandari katika Kitongoji cha Jiantiao cha Wilaya ya Sanmen katika Mji wa Taizhou, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 19, 2024. (Xinhua/Weng Xinyang)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>