<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Kenya hatarini kutokutii matakwa ya WADA baada ya kupunguza bajeti kwa wakala wa kupambana na dawa za kusisimua misuli

    (CRI Online) Septemba 18, 2024

    Kenya iko katika hatari ya kutangazwa kutokutii matakwa ya sheria na Shirika la Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kusisimua Misuli kwa Wanamichezo Duniani (WADA) baada ya serikali ya nchi hiyo kupunguza kwa kiasi kikubwa bajeti ya Shirika la Kupambana na Dawa za Kusisimua Misuli kwa Wanamichezo nchini Kenya (ADAK) kwa mwaka wa fedha wa 2024/25.

    Akiongea na wanahabari mjini Nairobi, mwenyekiti wa ADAK Daniel Makdwallo ameonya kwamba shirika hilo haliwezi kuendesha shughuli zake, baada ya kutengewa shilingi milioni 20 (dola 155,000 za Kimarekani) kutoka dola milioni 2.23 ilizopokea katika mwaka wa fedha uliopita.

    Amebainisha kuwa wako katika hatari ya kutoweza kuandaa au kutuma mwanamichezo yeyote kwenye mashindano ya kimataifa kwa sababu Shirika haliwezi kufanya shughuli zake za kupima mara kwa mara katika mashindano na nje ya mashindano.

    Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, Shirika hilo limewafungia wanariadha 78 kwa kukiuka Sheria ya Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kusisimua Misuli, juhudi ambazo zilipongezwa na WADA na Kitengo cha Kusimamia Maadili ya Wanariadha (AIU).

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>