久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Hali yadhibitiwa baada ya mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu wa Mali

(CRI Online) Septemba 18, 2024

Wizara ya Usalama na Ulinzi wa Raia ya Mali imesema Jumanne kwamba majaribio ya magaidi kushambulia kambi za shule za kijeshi huko Faladie mjini Bamako, nchini Mali, yamezimwa na hali imedhibitiwa.

Wizara hiyo imewahakikishia wakazi kwamba "hali imedhibitiwa kikamilifu" na kuwataka waendelee na shughuli zao kwa uhuru.

Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, mashambulizi ya risasi yalitokea kwenye kambi ya wanajeshi karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Modibo Keita, kilomita 15 kusini mwa mji wa Bamako majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za huko.

Vyanzo vya ndani vinasema hadi wakati habari hii inaripotiwa barabara katika eneo hilo zilikuwa zimefungwa.

Tangu mwaka 2012, Mali imekuwa ikikabiliwa na migogoro mbalimbali katika namna ya uasi wa kudai uhuru na mashambulizi ya wapiganaji wa kijihadi, pamoja na ghasia kati ya jamii, ambazo zimesababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na mamia ya maelfu wengine kukimbia makazi yao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>