久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mkulima wa aina mpya Deng Qian: "Panda mbegu za ujasiriamali na ?tafuta?zaidi ndoto za kipindi cha ujana"

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2024

Kwenye Mkutano wa kutangaza hali ya Eneo kubwa la Mlima Huangshan kwa Dunia, mwanamke kutoka Mkoa wa Hubei, alieleza nia yake ya awali ya kuweka familia yake na kazi yake katika Eneo kubwa la Mlima Huangshan akisema: ni milima mirefu hiyo iliyotuvutia kwenda huko, ni vijiji vya jadi vinavyotupa nguvu ya kuishi maisha kwa utulivu huko, ni ustawishaji wa vijiji unaoongoza matumaini yetu ya ujasiriamali, na zaidi ni eneo kubwa la Mlima Huangshan linatupa ndoto za kipindi cha ujana, ambapo tunaweza kufanya mambo yenye uwezekano wa wote ... "

Watu wa Familia ya Deng Qian walikuja pamoja kwa kusimulia hali ya " Eneo kubwa la Mlima Huangshan" na kuwataka watu wengi zaidi kwenda kutembelea eneo hilo. . (People's Daily Online/Ren Fengtao)

Watu wa Familia ya Deng Qian walikuja pamoja kwa kusimulia hali ya " Eneo kubwa la Mlima Huangshan" na kuwataka watu wengi zaidi kwenda kutembelea eneo hilo. . (People's Daily Online/Ren Fengtao)

Deng Qian ni msimamizi wa Hoteli ya kiraia ya "Tachuan Shuyuan". Mahali pa Hoteli hiyo ndogo palichaguliwa Mwaka 2015, hoteli ilifanyiwa ukarabati mpya na mapambo Mwaka 2016, na ilizinduliwa rasmi miezi minne na nusu tu baadaye.

Deng Qian alisema, sababu ya kwenda kijijini kufanya ujasiriamali ni kuwa nimeona mustakabali mzuri wa maendeleo ya vijiji, na pia ninataka kutumia juhudi zangu kuwafanya watu wengi zaidi kujiunga na timu ya kuimarisha ustawishaji wa vijiji.

Kwa juhudi zao, shughuli nyingi mpya za biashara zimekuwa zikianzishwa katika kijiji hiki kilichosahaulika zamani, na watalii wengi zaidi wameingia kwenye eneo la Mlima Huangshan, kujua Tachuan, na kufahamishwa zaidi kuhusu Mji wa Huizhou.

Picha ikionesha hoteli ya “Tachuan Shuyuan”. (People's Daily Online/Zhang Jun)

Picha ikionesha hoteli ya “Tachuan Shuyuan”. (People's Daily Online/Zhang Jun)

Muonekano wa“Tachuan Shuyuan”. (People's Daily Online/Zhang Jun)

Muonekano wa“Tachuan Shuyuan”. (People's Daily Online/Zhang Jun)

Picha ikionesha maisha ya kishairi ya msimamizi wa hoteli ya “Tachuan Shuyuan”Deng Qian. (People's Daily Online/Zhang Jun)

Picha ikionesha maisha ya kishairi ya msimamizi wa hoteli ya “Tachuan Shuyuan”Deng Qian. (People's Daily Online/Zhang Jun)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>