久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kenya yahimiza uwekezaji kwenye usalama wa mtandao wa Intaneti?ili kulinda SACCOs katika Afrika Mashariki

(CRI Online) Septemba 10, 2024

Kenya imetoa wito kwa serikali za Afrika Mashariki kuongeza uwekezaji katika mikakati ya usalama wa mtandao intaneti ili kulinda vyama vya ushirika vya akiba na mikopo (SACCOs) dhidi ya tishio linaloongezeka kwenye mtandao wa intaneti.

Waziri anayeshughulikia Vyama vya Ushirika na Biashara Ndogo na za Kati (MSMEs) wa Kenya Bw. Wycliffe Oparanya, amesisitiza mchango muhimu ambao SACCOs inatoa katika utulivu wa kiuchumi kwenye nchi nyingi za Afrika, na kutaka serikali zitoe kipaumbele katika utekelezaji wa mifumo ya usalama wa mtandao wa intaneti kwa kuhimiza ushirikiano na wadau wa ndani na wa kimataifa.

Kwenye hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Bibi Susan Mang'eli, Bw. Oparanya pia amesisitiza haja ya kuongeza uelewa, kujenga uwezo, na maendeleo ya mifumo ya tahadhari ya mapema ili kugundua na kukabiliana na hatari za mtandao wa intaneti.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>