久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi Jinping akutana na waziri mkuu wa Hispania Pedro Sanchez

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2024

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Hispania Pedro Sanchez, ambaye yuko katika ziara rasmi nchini China, kwenye Jumba la Wageni wa Kitaifa la Diaoyutai mjini Beijing, China, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amekutana na Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez siku ya Jumatatu, ambaye yuko katika ziara rasmi nchini China, ambapo Xi amemwomba Sanchez kufikisha salamu zake kwa Mfalme Felipe VI.

Huku akikumbuka maadhimisho ya miaka 50 ya mwaka uliopita tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia katika ya China na Hispania, Rais Xi amesema tokea wakati huo, pande zote mbili zimedumisha mawasiliano ya karibu kwenye ngazi zote na kukuza ushirikiano wa kiwango cha juu katika maeneo mapya.

Rais Xi akieleza kuwa mwaka ujao ni mwaka wa 20 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa wenzi wa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote kati ya China na Hispania, pande hizo mbili zinapaswa kufuata nia ya awali ya kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia ulio wa kuheshimiana na kutendeana kwa usawa, na kuongeza mambo mapya kwenye uhusiano wa pande mbili kwa mtazamo kuhusu jumuishi na wa muda mrefu.

Rais Xi amesisitiza kuwa mageuzi na ufunguaji mlango ni. njia sahihi ya maendeleo ambayo China imeipata kwa kupitia uzoefu wa muda mrefu, na China itaifuata kwa uthabiti.

Amesema kuwa China inapenda kupanua ushirikiano na Hispania kwenye masoko ya upande wa tatu katika Nchi za Kusini, na kuimarisha mawasiliano na uratibu katika Umoja wa Mataifa, G20 na mashirika mengine ya kimataifa, kwa lengo la kuingiza msukumo zaidi kwa ajili ya amani ya dunia na utulivu wa dunia, na mambo ya maendeleo ya binadamu.

Waziri mkuu wa Hispania Bw.Sanchez amewasilisha salamu za dhati kutoka kwa Mfalme Felipe VI kwa Rais Xi.

Sanchez amesema, Hispania na China zinafurahia urafiki uliotukuka wa muda mrefu, na zimeendeleza na kuimarisha ushirikiano wao mara kwa mara kwa msingi wa kuheshimiana, na katika ziara yake, pande hizo mbili zimetia saini makubaliano kadhaa ya ushirikiano katika nyanja kama vile maendeleo ya kijani, mabakubaliano hayo ambayo yameonyesha uwezo mkubwa wa kifursa na matarajio mazuri ya ushirikiano wa pande mbili

“Hispania inaunga mkono kanuni za biashara huria na ufunguaji mlango wa soko, inapinga vita vya kibiashara, na inapenda kuendelea na kutoa mchango mkubwa zaidi kwa ajili ya kuendeleza maendeleo mazuri ya uhusiano wa EU na China,” amesema.

Pande hizo mbili pia zimebadilishana maoni kuhusu mgogoro wa Ukraine na ule wa Palestina na Israel.

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Hispania Pedro Sanchez, ambaye yuko katika ziara rasmi nchini China, kwenye Jumba la Wageni wa Kitaifa la Diaoyutai mjini Beijing, China, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Hispania Pedro Sanchez, ambaye yuko katika ziara rasmi nchini China, kwenye Jumba la Wageni wa Kitaifa la Diaoyutai mjini Beijing, China, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

Rais Xi Jinping wa China na Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez wakitembea Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

Rais Xi Jinping wa China na Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez wakitembea Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

Rais Xi Jinping wa China na Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez wakitembea mjini Beijing, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

Rais Xi Jinping wa China na Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez wakitembea mjini Beijing, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>