久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Matokeo ya awali yaonesha Rais Tebboune wa Algeria kuchaguliwa tena kwa muhula wa pili

(CRI Online) Septemba 09, 2024

Tume ya uchaguzi ya Algeria imesema, matokeo ya awali ya uchaguzi yanaonesha kuwa rais aliyeko madarakani sasa Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amechaguliwa tena kwa muhula wa pili.

Mkuu wa tume huru ya uchaguzi ya Algeria Bw. Mohamed Charfi amesema kwenye mkutano na wanahabari mjini Algiers, kuwa Bw. Tebboune amepata kura 5,329,253 ambazo ni sawa na asilimia 94.65 ya kura zote.

Mshindani wake wa karibu zaidi Bw. Abdelaali Hassani Cherif amepata kura 178,797 ambazo ni sawa na asilimia 3.17 ya kura zote, huku Bw. Youcef Aouchiche akipata kura 122,146.

Kwa mujibu wa tume hiyo, Baraza la katiba la nchi hiyo litapitia rufaa yoyote kutoka kwa wagombea urais kabla ya kurasmisha matokeo hayo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>