久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais wa Tanzania asema China siku zote imekuwa mshirika wa kweli katika maendeleo ya Afrika

(CRI Online) Septemba 06, 2024

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia ufunguzi wa Mkutano wa Kilele wa FOCAC. (Xinhua/Yan Yan)

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema China imekuwa mshirika wa kweli katika maendeleo ya Afrika, na ushirikiano kati ya Afrika na China utasaidia kujenga maendeleo na ustawi wa pamoja wa siku zijazo.

Akihutubia ufunguzi wa Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika jana Alhamisi mjini Beijing, Rais Samia amesema, nchi za Afrika zinathamini sana hatua 10 za ushirikiano kati ya China na Afrika zilizotangazwa na Rais Xi Jinping wa China ili kukuza kwa pamoja ujenzi wa mambo ya kisasa.

Pia Rais Samia amesema, biashara na uwekezaji kati ya nchi za Afrika na China zimekua kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, na kuongeza kuwa, Tanzania iko tayari kuwa jukwaa la mfano la ushirikiano wa uvumbuzi wa kiuchumi na kijamii kati ya Afrika na China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>