久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kenya kuwa mwenyeji wa maonyesho ya biashara kati ya China na Afrika

(CRI Online) Septemba 03, 2024

Kenya itakuwa mwenyeji wa Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Viwanda yatakayofanyika wiki ijayo, ambayo yanalenga kuboresha uhusiano kati ya China na Afrika.

Mkurugenzi mtendaji wa Afripeak Expo Kenya amewaambia wanahabari jijini Nairobi, mji mkuu wa Kenya, kwamba maonyesho hayo ya siku tatu yataanza Septemba 12 na yatakutanisha washiriki zaidi ya 200 kutoka China na Afrika watakaoonyesha bidhaa zao mpya.

Amesema maonyesho hayo yatakuwa jukwaa la kuunganisha wawekezaji wa China na Afrika ili kuwezesha mabadilishano ya ujuzi na matumizi ya teknolojia mpya kwa ajili ya kuboresha ushindani wa viwanda vya barani Afrika.

Meneja mkuu wa Kuhamasisha Uwekezaji na Maendeleo ya Biashara katika Mamlaka ya Uwekezaji ya Kenya, Pius Rotich amesema maonyesho hayo yatajumuisha watengenezaji wa vipuri vya magari, ujenzi wa miundombinu, mashine za kilimo, vifaa vya ujenzi, nishati mpya na bidhaa za mazingira na kemikali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>