久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais wa Kenya asema FOCAC imesaidia nchi nyingi za Afrika kuelekea kwenye ujenzi wa mambo ya kisasa

(CRI Online) Septemba 03, 2024

Rais wa Kenya William Ruto amesema Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka huu utaonyesha mwelekeo wa ushirikiano kati ya Afrika na China katika zama mpya, kuhimiza ukuaji wa uchumi wa kijani, kuhimiza maendeleo ya amani, na kuimarisha kufunzana kati ya ustaarabu.

Akizungumza katika mahojiano na Shirika la Habari la China, Xinhua katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Rais Ruto amesema, Kenya inaamini kwamba Baraza hilo litaongeza msukumo mpya katika ushirikiano wa Kenya na China na kusaidia Kenya na nchi nyingi za Afrika kuelekea ujenzi wa mambo ya kisasa.

Rais Ruto amesema, China na Afrika zimeweka utaratibu thabiti kupitia FOCAC ili kufanya mazungumzo na kuhimiza maendeleo ya maelewano kati ya pande hizo mbili katika masuala ya usalama, utamaduni, kilimo, viwanda, maendeleo na nyanja zingine.

Pia amesema, ushirikiano wa kimkakati kati ya Kenya na China unaendelea kusonga mbele, na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili uko mstari wa mbele katika ushirikiano wa Afrika na China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>