久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi Jinping akutana?na viongozi wanaokuja Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa FOCAC

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2024

BEIJING - Rais Xi Jinping wa China ameanza kufanya shughuli za pande mbili leo siku ya Jumatatu na viongozi wa kigeni ambao watahudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), unaotarajiwa kufanyika Septemba 4 hadi 6 mjini Beijing.

Leo siku ya Jumatatu asubuhi Rais Xi amekutana na rais Felix Tshisekedi, wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), rais Assimi Goita wa Mali, rais Faure Gnassingbe wa Togo, na rais Azali Assoumani wa Visiwa vya Comoro kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.

Kwenye mkutano huo wa kilele wa FOCAC, Rais Xi atahudhuria hafla ya ufunguzi na kutoa hotuba kuu Septemba 5. Pia ataandaa tafrija ya kuwakaribisha viongozi na wawakilishi wanaohudhuria mkutano huo.

Kufuatia mkutano wa kilele wa Beijing wa Mwaka 2006, mkutano wa kilele wa Johannesburg Mwaka 2015 na mkutano wa kilele wa Beijing wa Mwaka 2018, mkutano huo ni shughuli nyingine inayokusanya marafiki wa China na Afrika. Pia ni shughuli kubwa zaidi ya kidiplomasia inayoandaliwa na China katika miaka ya hivi karibuni, ikiwa inahudhuriwa na viongozi wengi zaidi wa nchi za nje.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>