久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Russia yahamisha wakaazi wa Belgorod huku hali ya mivutano ikiongezeka kwenye mpaka wa Ukraine

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 13, 2024

Lori likiwa limebeba aina ya makazi ya muda ya saruji, yaliyosanifiwa kulinda raia dhidi ya mashambulizi ya makombora, huko Belgorod, Russia, Agosti 9, 2024. (Xinhua)

Lori likiwa limebeba aina ya makazi ya muda ya saruji, yaliyosanifiwa kulinda raia dhidi ya mashambulizi ya makombora, huko Belgorod, Russia, Agosti 9, 2024. (Xinhua)

MOSCOW - Mkoa wa Belgorod nchini Russia umeanza kuhamisha wakaazi wake hadi maeneo salama huku kukiwa na ongezeko la shughuli za kijeshi karibu na mpaka wa Ukraine, gavana wake amesema siku ya Jumatatu.

"Tunakumbwa na hali ya wasiwasi asubuhi kutokana na shughuli za adui karibu na mpaka wa Wilaya ya Krasnoyaruzhsky," Gavana wa Belgorod Vyacheslav Gladkov amesema katika video iliyochapishwa kwenye akaunti yake ya mtandao wa Telegram.

"Nina hakika jeshi letu litafanya kila linalohitajika ili kukabiliana na tishio hili. Hata hivyo, ili kuhakikisha usalama na ustawi wa wakazi wetu, tunaanzisha kuhamisha watu wanaoishi katika Wilaya ya Krasnoyaruzhsky kwenye maeneo salama, "amesema Gladkov.

Gladkov amesema uhamishaji huo kwa sasa unaratibiwa kwenye maeneo husika, na vyombo vya usafiri tayari vimetumwa.

Katika ujumbe tofauti wa dharura, mamlaka ya mji wa Belgorod pia imetoa wito wa hatua za haraka kutoka kwa wakazi wa Wilaya ya Krasnoyaruzhsky.

"Shughuli ya adui imeshuhudiwa kwenye mpaka wa wilaya yetu ya manispaa. Wakazi wote wanahimizwa kuondoka nyumbani kwao mara moja. Maeneo ya kuhamia yamethibitishwa," kwa mujibu wa tangazo kwenye akaunti ya mtandao wa Telegram ya mji huo.

Gladkov amesema kuwa makombora 83 yamefyatuliwa katika mashambulizi 19 na mashambulizi 16 ya droni kwenye makazi na vijiji vingi katika Wilaya ya Krasnoyaruzhsky katika muda wa saa 24 zilizopita, na kuharibu paa la nyumba isiyo na watu na waya ya umeme.

Gavana huyo pia ameripoti mashambulizi katika maeneo mengine yanayopakana na Ukraine, ikiwa ni pamoja na wilaya za Belgorodsky, Borisovsky, Volokonovsky na Grayvoronsky, na kusababisha watu wawili kujeruhiwa.?

Lori likiwa limebeba aina ya makazi ya muda ya saruji, yaliyosanifiwa kulinda raia dhidi ya mashambulizi ya makombora, huko Belgorod, Russia, Agosti 9, 2024. (Xinhua)

Lori likiwa limebeba aina ya makazi ya muda ya saruji, yaliyosanifiwa kulinda raia dhidi ya mashambulizi ya makombora, huko Belgorod, Russia, Agosti 9, 2024. (Xinhua)

Mtu akitazama aina ya makazi ya muda ya saruji, yaliyosanifiwa kulinda raia dhidi ya mashambulizi ya makombora, huko Belgorod, Russia, Agosti 9, 2024. (Xinhua)

Mtu akitazama aina ya makazi ya muda ya saruji, yaliyosanifiwa kulinda raia dhidi ya mashambulizi ya makombora, huko Belgorod, Russia, Agosti 9, 2024. (Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>