久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mazoezi ya pamoja ya baharini ya vikosi vya wanajeshi wa majini vya China na Russia yamalizika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 18, 2024

Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Julai 2024 ikionyesha   manowari za vikosi vya wanajeshi wa majini vya China na Russia zikishiriki hafla ya kutengana kwa  manowari hizo kwenye bahari karibu na Mji wa Zhanjiang, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Picha na Yang Jie/Xinhua)

GUANGZHOU - "Mazoezi ya pamoja kwenye Bahari Mwaka 2024" kati ya vikosi vya wanajeshi wa majini vya China na Russia yamemalizika Jumatano, kwa hafla ya kutengana kwa manowari zilizoshiriki kwenye bahari karibu na Mji wa Zhanjiang, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China ambapo mazoezi hayo yanaweka mkazo katika "kukabiliana kwa ushirikiano na matishio ya usalama baharini," ambapo manowari saba za nchi zote mbili zimeshiriki kwenye mazoezi hayo.

Mazoezi hayo yalianza na shughuli za upangaji wa shughuli kwenye bandari, ikiwa ni pamoja na uigizaji wa vita halisi vya kijeshi kwenye ramani na kutembelea kwenye manowari.

Mazoezi hayo yalipofanyika kwenye bahari, mazoezi ya upelelezi wa pamoja na tahadhari ya mapema, utafutaji na uokoaji, ulinzi wa anga na kuzuia makombora.

"Mazoezi ya Pamoja kwenye Bahari Mwaka 2024" yameimarisha mabadilishano ya kitaaluma na kuaminiana kati ya vikosi vya wanajeshi wa majini vya China na Russia, na kuendeleza ushirikiano wenye matokeo halisi kwa kufuata kanuni na kwa utaratibu.

Tangu kuanzishwa kwake Mwaka 2012, mfululizo huo wa mazoezi ya "Ushirikiano kweye Bahari" umekuwa jukwaa muhimu la ushirikiano kati ya vikosi hivyo viwili vya wanajeshi wa majini, na kuimarisha uwezo wao wa kukabiliana kwa pamoja na matishio na changamoto kwa usalama.?

Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Julai 2024 ikionyesha  manowari za vikosi vya wanajeshi wa majini vya China na Russia zikishiriki hafla ya kutengana kwa manowari kwenye bahari karibu na Mji wa Zhanjiang, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Picha na Yang Jie/Xinhua)

Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Julai 2024 ikionyesha manowari za vikosi vya wanajeshi wa majini vya China na Russia zikishiriki hafla ya kutengana kwa manowari kwenye bahari karibu na Mji wa Zhanjiang, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Picha na Yang Jie/Xinhua)

Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Julai 2024 ikionyesha manowari za vikosi vya wanajeshi wa majini vya China na Russia zikishiriki hafla ya kutengana kwa manowari hizo kwenye bahari karibu na Mji wa Zhanjiang, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Picha na Yang Jie/Xinhua)

Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Julai 2024 ikionyesha manowari za vikosi vya wanajeshi wa majini vya China na Russia zikishiriki hafla ya kutengana kwa manowari hizo kwenye bahari karibu na Mji wa Zhanjiang, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Picha na Yang Jie/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>