久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

IMF yapandisha makadirio ya ukuaji wa uchumi wa China mwaka 2024 hadi asilimia 5

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 17, 2024

Picha hii iliyopigwa tarehe 10 Januari 2023 ikionyesha mandhari ya eneo la Lujiazui katika Eneo la Majaribio ya Biashara Huria la China (Shanghai) mjini Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Fang Zhe)

Picha hii iliyopigwa tarehe 10 Januari 2023 ikionyesha mandhari ya eneo la Lujiazui katika Eneo la Majaribio ya Biashara Huria la China (Shanghai) mjini Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Fang Zhe)

WASHINGTON - Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limerekebisha makadirio yake ya ukuaji wa uchumi wa China kwa Mwaka 2024 hadi asilimia 5 katika ripoti yake mpya ya Mtazamo wa Uchumi wa Dunia (WEO), kutoka makadirio ya awali ya Mwezi Aprili ya ukuaji wa asilimia 4.6 ambapo marekebisho hayo yanahusishwa kimsingi na kuongezeka kwa nguvu kubwa ya matumizi ya kibinafsi na mauzo makubwa ya nje katika robo ya kwanza ya Mwaka 2024.

"Nchini China, kuongezeka kwa matumizi ya ndani kumechochea hali nzuri ya kupanda juu katika robo ya kwanza, ikisaidiwa na mauzo ya nje yanayoonekana kuwa kuongezeka kwa muda ambayo yanaunganishwa tena na ongezeko la mwaka jana la mahitaji ya kimataifa," imesema ripoti hiyo.

IMF imedumisha makadirio yake ya ukuaji wa kimataifa Mwaka 2024 kwa asilimia 3.2, ikibainisha kuwa uchumi wa nchi za Asia zenye masoko yanayoibukia unaendelea kuwa injini kuu ya uchumi wa Dunia.

Biashara duniani inatarajiwa kuongezeka kwa asilimia 3.1 mwaka 2024 na asilimia 3.4 mwaka 2025, kiasi ambacho kinaongezeka asilimia 0.1 zaidi ya makadirio ya Aprili mtawaliwa.

Picha iliyopigwa Aprili 6, 2021 ikionyesha mtu akitembea kuyapita makao makuu ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) nyuma yake mjini Washington, D.C., Marekani. (Picha na Ting Shen/Xinhua)

Picha iliyopigwa Aprili 6, 2021 ikionyesha mtu akitembea kuyapita makao makuu ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) nyuma yake mjini Washington, D.C., Marekani. (Picha na Ting Shen/Xinhua)

"Uchumi wa nchi za Asia zenye soko linaloibukia unaendelea kuwa injini kuu ya uchumi wa Dunia. Ukuaji wa uchumi nchini India na China unarekebishwa kwenda juu na unachukua karibu nusu ya ukuaji wa kimataifa," Mchumi Mkuu wa IMF Pierre-Olivier Gourinchas ameandika kwenye blogu.

Ripoti hiyo mpya pia imesema kuwa kasi ya dunia kupunguza kiwango cha mfumuko wa bei inapungua, ikiashiria changamoto katika mchakato huo.

"Hatari za kupanda kwa mfumuko wa bei hivyo zimeongezeka, ikiongeza matarajio ya viwango vya juu vya riba, katika muktadha wa kuongezeka kwa mvutano wa kibiashara na kuongezeka kwa hali ya kutokuwa na uhakika kwa sera," ripoti hiyo imesema.

"Changamoto zaidi za kushuka kwa mfumuko wa bei katika nchi zenye uchumi ulioendelea zinaweza kulazimu benki kuu, pamoja na Benki Kuu ya Marekani, kuweka gharama za kukopa kuwa kubwa zaidi kwa muda mrefu zaidi. Hilo linaweka ukuaji wa jumla wa uchumi hatarini, pamoja na kuongezeka kwa shinikizo la juu kwa dola ya Marekani na kuenea kwa hatari kwa nchi zenye uchumi unaoibukia na unaoendelea," Gourinchas amesema.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>