Lugha Nyingine
Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kupunguza bajeti za silaha ili kuokoa Malengo ya Maendeleo Endelevu
(CRI Online) Julai 17, 2024
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Amina Mohammed ametoa wito kwa viongozi wa dunia kubadili mwelekeo wa rasilimali kutoka mambo ya vita hadi amani na kutimiza malengo ya maendeleo endelevu.
Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Umoja huo, Bi. Amina Mohammed ametoa wito wa kuchukua hatua sahihi mapema ili kuokoa hali ya kuzorota kutimia kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja huo (SDGs).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma