久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mjumbe wa China ahimiza usawa wa mamlaka ya nchi, kuhimiza dunia yenye ncha nyingi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 17, 2024

UMOJA WA MATAIFA - Fu Cong, Mwakilishi wa Kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumanne kwenye mjadala wa wazi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ushirikiano wa pande nyingi kwa kuhimiza utaratibu wa dunia wenye haki, demokrasia na ulio endelevu zaidi ametoa wito kwa nchi kushikilia usawa wa mamlaka za nchi na kuhimiza Dunia yenye ncha nyingi kwa njia yenye usawa na utaratibu.

"Kwanza, ni lazima tushikilie usawa wa mamlaka ya nchi. Kila nchi inapaswa kupata nafasi yake na kutoa mchango wake katika mfumo wa pande nyingi. Ni lazima tufanye kazi kwa pamoja ili kuhimiza Dunia yenye ncha nyingi katika hali ya usawa na utaratibu," amesema.

Amepongeza kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa Mwaka 1945 kulikuwa ni njia ya "kuokoa vizazi vijavyo kutokana kwenye janga la vita" na kushikilia moyo wa ushirikiano wa pande nyingi.

Amesema, katiba ya Umoja wa Mataifa "ni msingi wa utaratibu wa kisasa wa kimataifa" na unajumuisha "Fikra tukufu ya kujitahidi kujenga utaratibu wa kimataifa wenye haki na usawa."

Akitafakari muktadha wa kihistoria, Fu amezielezea kanuni za kuishi pamoja kwa amani, zilizopendekezwa na viongozi wa China miaka 70 iliyopita, zinaendelea kuongoza uhusiano wa kimataifa. Kanuni hizi ni pamoja na "kuheshimiana kwa mamlaka na ukamilifu wa ardhi, kutoshambuliana, kutoingiliana mambo ya ndani ya kila mmoja, usawa na kunufaishana, na kuishi pamoja kwa amani."

Akizungumzia usalama, Fu ametoa wito wa "usalama wa pamoja unaozingatia sheria isiyo na upendeleo ya usalama wa kila mmoja," akihamasisha suluhu ya migogoro kupitia mazungumzo na mashauriano ili kujenga usanifu wa usalama ulio na uwiano, ufanisi na uendelevu zaidi.

Akiikosoa Jumuiya ya Kujihami ya Nchi za Magharibi (NATO), Fu ameishutumu jumuiya hiyo kwa kutaka "kupanua mipaka yake ya ushawishi," "kuunda simulizi za uwongo" na kuchochea "mapambano kati ya kambi."

Amesisitiza, "Historia imethibitisha kwa kiasi kikubwa kwamba popote ambapo mkono wa NATO unapoenea, majanga na machafuko hutokea."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>