久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Uchumi wa China wakusanya nguvu za kukua kwa kasi baada ya mchanganyiko wa sera mahsusi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024

Picha ya droni iliyopigwa Februari 2, 2024 ikionyesha meli ya makontena ikitia nanga kwenye gati la kaboni-sifuri la Bandari ya Tianjin mjini Tianjin, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhao Zishuo)

Picha ya droni iliyopigwa Februari 2, 2024 ikionyesha meli ya makontena ikitia nanga kwenye gati la kaboni-sifuri la Bandari ya Tianjin mjini Tianjin, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhao Zishuo)

BEIJING - Viashiria vingi vimeonesha mwenendo wenye ufanisi bora wa uchumi wa China katika nusu ya kwanza (H1) ya mwaka huu wa 2024, ikiashiria mwelekeo wa kuendelea kufufua kwa uchumi wa China wakati ambapo China inajitahidi kuyapita mambo magumu na changamoto kali kwa kutumia mchanganyiko wa sera mahsusi.

Akizungumza kwenye kongamano kuhusu hali ya uchumi wiki iliyopita, Waziri Mkuu wa China Li Qiang alisema kuwa uchumi wa China umeendelea kuimarika na kuendeleza nguvu mpya za ukuaji licha ya mazingira magumu ya nje tangu kuanza kwa mwaka huu. Amesisitiza kuwa mafanikio hayo "yamepatikana kwa bidii."

Ingawa bado kuna matatizo na changamoto nyingi, hatua za kisera kutoka kwa serikali zimeendelea kutekelezwa, na mambo chanya ya soko yanaongezeka, Waziri Mkuu huyo amesema.

Ishara za matumaini ya ukuaji uchumi

Biashara ya nje ya China imefikia kiwango cha juu zaidi katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu, huku kiasi cha biashara ya bidhaa kikiongezeka kwa asilimia 6.1 mwaka hadi mwaka kufikia yuan trilioni 21.17 (kama dola trilioni 2.97 za Kimarekani), takwimu kutoka idara ya forodha ya China zimeonyesha Ijumaa iliyopita.

Hasa, ukuaji wa mauzo ya nje umeendelea kuongezeka, kwa asilimia 6.9 mwaka hadi mwaka katika kipindi hicho, takwimu ambayo vyombo vya habari vya kigeni vimeripoti kuwa "imevuka makadirio."

Matumizi ya wanunuzi yameongezeka huku kukiwa na ongezeko la matumizi ya huduma, kwani watumiaji wa China wako tayari zaidi kutumia kwenye milo, matamasha ya jukwaani na safari.

Mchanganyiko wa sera kadhaa

China imeweka lengo la ukuaji wa uchumi karibu asilimia 5 kwa mwaka mzima. Katika robo ya kwanza ya mwaka huu, uchumi wa China uliongezeka kwa asilimia 5.3.

Huku akitambua maendeleo hayo mazuri, Waziri Mkuu Li pia amesisitiza haja ya kuwa na mtazamo wazi. Amesema kuwa mambo yanayoathiri ukuaji uchumi yamekuwa magumu zaidi kuliko hapo awali na hivyo kushughulikia matatizo hayo magumu ya uchumi kunahitaji juhudi kubwa zaidi.

Ili kuchochea mahitaji ya soko, China imetekeleza hatua kadhaa mwezi Juni, ikiwa ni pamoja na kupanua sera ya wageni kuingia na kukaa China bila visa ili kuunganisha ndege kwenda nchi nyingine, kulegeza masharti ya kununua magari, na kuhimiza matumizi ya vifaa vya kielektroniki vinavyotumia teknolojia za kisasa na AI.

China pia pia imeanzisha raundi mpya ya biashara ya bidhaa za matumizi mwezi Machi. Kwa ruzuku zaidi na motisha, mpango huo umesababisha ongezeko la uuzaji wa bidhaa kama vile magari, vifaa vya nyumbani na samani.

Zhang Bin, Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Uchumi na Siasa za Dunia katika Akademia ya Sayansi ya Jamii ya China, amesema mahitaji yasiyo ya kutosha kwa wanunuzi bado ni tatizo kubwa linalokwamisha uendeshaji wa uchumi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>