久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Waziri wa Mambo ya Nje wa China akutana na wenzake wa Gabon na Madagascar, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) akikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Rafaravavitafika Rasata, ambaye alikuwa nchini China kuhudhuria kwenye Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jukwaa la Hatua ya Kimataifa ya Maendeleo ya Pamoja, mjini Beijing, China, Julai 12, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) akikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Rafaravavitafika Rasata, ambaye alikuwa nchini China kuhudhuria kwenye Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jukwaa la Hatua ya Kimataifa ya Maendeleo ya Pamoja mjini Beijing, China, Julai 12, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

BEIJING - Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi siku ya Ijumaa alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon Regis Onanga Ndiaye, Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Rafaravavitafika Rasata, na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, mtawalia, ambao walikuwa ziarani nchini China kuhudhuria hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jukwaa la Hatua ya Kimataifa ya Maendeleo ya Pamoja mjini Beijing.

Kwenye mkutano wake na Regis Onanga Ndiaye, Wang, ambaye pia ni mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), amesema Pendekezo la Maendeleo ya Dunia linajibu matamanio ya haraka ya nchi zinazoendelea ya kuharakisha maendeleo, na kuongeza kuwa China inashukuru Gabon kujiunga na Kikundi cha Marafiki wa Pendekezo la Maendeleo ya Dunia.

Kwa upande wake Regis Onanga Ndiaye ametoa shukurani kwa China kuunga mkono harakati za Gabon kutafuta haki na mchakato wake wa mpito, pamoja na kuunga mkono chaguo la kujitegemea la Gabon la mfumo wa kitaifa na njia ya maendeleo.

Kwenye mkutano na Rafaravavitafika Rasata, Wang amesema kuwa China ingependa kufanya juhudi za pamoja na pande zote katika kusaidia nchi mbalimbali katika kuharakisha mchakato wa ujenzi ya mambo ya kisasa

"China inakaribisha juhudi kubwa za Madagascar za kushiriki katika utekelezaji wa hatua kubwa tatu za kuunga mkono maendeleo ya viwanda ya Afrika, maendeleo ya kilimo cha kisasa na kukuza vipaji ambazo zilitangazwa wakati wa Mazungumzo ya Viongozi wa China na Afrika nchini Afrika Kusini," ameongeza.

Rafaravavitafika Rasata amesema kuwa msaada wa China kwa Afrika haujawahi kuwa na masharti, na imetoa mfululizo wa mapendekezo muhimu kuhusu Dunia, ikionyesha dhamira yake thabiti ya kuunga mkono maendeleo ya Afrika na nchi nyingine za "Dunia ya Kusini".

Kwenye mkutano na Ban Ki-moon, ambaye pia ni mwenyekiti wa Jukwaa la Boao la Asia, Wang amesema kuwa mapendekezo ya kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja, Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja na mapendekezo mengine makuu matatu ya kimataifa imepata uungaji mkono mkubwa kutoka jumuiya ya kimataifa.

Naye Ban Ki-moon amesema dhana na mapendekezo yaliyotolewa na China, kama vile Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja na Pendekezo la Maendeleo ya Dunia, yataleta manufaa na ustawi kwa Dunia.

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) akikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon Regis Onanga Ndiaye, ambaye alikuwa nchini China  kuhudhuria kwenye Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jukwaa la Hatua ya Kimataifa ya Maendeleo ya Pamoja, mjini Beijing, China, Julai 12, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) akikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon Regis Onanga Ndiaye, ambaye alikuwa nchini China kuhudhuria kwenye Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jukwaa la Hatua ya Kimataifa ya Maendeleo ya Pamoja, mjini Beijing China, Julai 12, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) akikutana na Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa na mwenyekiti wa Baraza la Boao la Asia, ambaye alikuwa nchini China kwa ajili ya Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jukwaa la Hatua ya Kimataifa ya Maendeleo ya Pamoja, mjini Beijing, China, Julai 12, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) akikutana na Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa na mwenyekiti wa Baraza la Boao la Asia, ambaye alikuwa nchini China kwa ajili ya Mkutano wa Pili wa Ngazi ya Juu wa Jukwaa la Hatua ya Kimataifa ya Maendeleo ya Pamoja mjini Beijing, China, Julai 12, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>