久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Peng Liyuan, Mke wa Rais wa China akutana na maofisa wa UNAIDS na WHO mjini Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024

Peng Liyuan, Mke wa Rais wa China Xi Jinping na balozi wa nia njema wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu kifua kikuu na VVU/UKIMWI, akikutana na Winnie Byanyima, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa Mpango wa Pamoja wa Umoja wa Mataifa kuhusu VVU/UKIMWI (UNAIDS), na Jerome Salomon, mkurugenzi mkuu msaidizi wa WHO mjini Beijing, China, Julai 11, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

Peng Liyuan, Mke wa Rais wa China Xi Jinping na balozi wa nia njema wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu kifua kikuu na VVU/UKIMWI, akikutana na Winnie Byanyima, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa Mpango wa Pamoja wa Umoja wa Mataifa kuhusu VVU/UKIMWI (UNAIDS), na Jerome Salomon, mkurugenzi mkuu msaidizi wa WHO mjini Beijing, China, Julai 11, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

BEIJING - Peng Liyuan, Mke wa Rais wa China Xi Jinping na balozi wa nia njema wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu kifua kikuu na VVU/UKIMWI, amekutana siku ya Alhamisi mjini Beijing na Winnie Byanyima, naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa Mpango wa Pamoja wa Umoja wa Mataifa kuhusu VVU/UKIMWI (UNAIDS) na Jerome Salomon, mkurugenzi mkuu msaidizi wa WHO.

Akidhihirisha kuwa kutokomeza VVU/UKIMWI na kifua kikuu ni muhimu sana kwa ajili ya kuhakikisha afya na ustawi wa binadamu, pamoja na kuhimiza maendeleo endelevu ya Dunia nzima, Peng amesema kuwa UNAIDS na WHO wamefanya juhudi mfululizo za kuhimiza hamasa za watu na kupata ufanisi mkubwa katika nyanja husika. Peng amewaeleza kuhusu hatua na uzoefu wa China katika kuzuia na kutibu VVU/UKIMWI na kifua kikuu. Pia ameeleza nia yake ya kuendelea kutekeleza jukumu na wajibu wake akiwa balozi wa nia njema na kutoa mchango zaidi kwa ajili ya juhudi za Dunia nzima za kuzuia na kutibu VVU/UKIMWI na kifua kikuu.

“Inaaminika kuwa kwa juhudi za pamoja za pande zote, ushirikiano wa China na UNAIDS na WHO utapata mafanikio makubwa zaidi,” Peng amesema.

Byanyima na Salomon wamepongeza mafanikio iliyopata serikali ya China na watu wake katika kinga na tiba ya kifua kikuu na VVU/UKIMWI, na vilevile katika maendeleo ya mambo ya matibabu na afya. Pia wamesifu sana mchango mkubwa aliotoa Peng tangu kubeba jukumu la kuwa balozi wa nia njema wa WHO kuhusu kifua kikuu na VVU/UKIMWI.

Wamesema wangependa kuimarisha zaidi ushirikiano na China katika nyanja zinazohusika, na kuhimiza mambo ya afya ya Dunia nzima yaendelee kupata maendeleo na kuleta manufaa kwa watu wa Dunia.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>