久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yapinga vikali tamko la mkutano wa Washington wa viongozi wa nchi wanachama wa NATO

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024

BEIJING - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Lin Jian amesema siku ya Alhamisi kuwa, China imesikitishwa na kupinga vikali tamko la mkutano wa Washington wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya NATO, ambalo linavumisha uvumi wa hali wasiwasi katika eneo la Asia-Pasifiki na limejaa kauli za mawazo ya Vita Baridi, akiongeza kuwa maudhui ya tamko hilo yanayohusu China yamejaa maoni ya upande wake mmoja, upakaji matope na uchochezi.

Huku akisema China imewasilisha malalamiko kwa NATO, Lin amesema ili kuelezea kuhitajika kimuhimu kwa NATO, Marekani na NATO zimeropoka "ufahari " na "mshikamano" wa jumuiya hiyo, na kuing'arisha kama “jumuiya ya amani” kabla ya mkutano huo. Amesema, hata hivyo, hiyo haifichi ukweli kwamba NATO ni mabaki ya Vita Baridi na ni zao la mapambano na siasa za kambi.

Lin amesema kuwa vikosi vya NATO viliishambulia kwa mabomu Yugoslavia kwa siku 78 kwa jina la "kuzuia balaa zaidi ya ubinadamu," na majanga ya Afghanistan na Libya yameonesha wazi kwamba popote NATO itakapojitokeza, machafuko na misukosuko hufuata.

Ameongeza kuwa, ati usalama ilioueleza NATO mara nyingi hujengwa juu ya hali isiyo na usalama kwa wengine, na wasiwasi wake mwingi wa usalama inajiletea yenyewe. Amesema "mafanikio" na "nguvu" ambayo NATO inajivunia inamaanisha hatari kubwa kwa Dunia.

"Kujenga maadui wa kufikirika ili kuhalalisha uwepo wake na kuchukua hatua nje ya eneo lake ni mbinu inayofuatwa kwanza kwa NATO," Lin amesema, akiongeza kuwa kuijengea kuisimulia kwa makosa China kuwa ni "uchokozi wa kimfumo" na kuchafua sera za ndani na nje za China ni mfano wa kweli.

"Kuhusu Ukraine, NATO inasisitiza kuwa China inahusika, hii ni nia mbaya na haileti mantiki yoyote," Lin amesema na kuongeza kuwa msimamo wa China usio wa upendeleo kwa upande wowote na wa haki kuhusu Ukraine na mchango wa kiujenzi ambao China imetoa vinatambuliwa sana na jumuiya ya kimataifa.

“China inaitaka NATO kutafakari chanzo cha msukosuko na vitendo vya NATO yenyewe, kusikiliza sauti za nia njema za jumuiya ya kimataifa na kuchangia katika kupunguza hali wasiwasi, badala ya kutwisha lawama kwa wengine” ameongeza.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>