久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Xi Jinping akutana na Waziri Mkuu wa Bangladesh, uhusiano wa pande mbili wapandishwa hadhi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2024

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina katika Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Julai 10, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina katika Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Julai 10, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

China na Bangladesh zimepandisha hadhi ya uhusiano wao pande mbili siku ya Jumatano kuwa uhusiano wa wenzi wa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote.

Rais wa China Xi Jinping na Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina wametangaza hatua hiyo walipokutana Beijing.

Rais Xi amesema, China na Bangladesh siku zote zimekuwa zikiheshimiana na kuungana mkono, kuchukuliana kama pande sawa na kushirikiana kwa matokeo yenye manufaa kwa pande zote tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia, zikitoa mfano wa kuigwa wa mabadilishano ya kirafiki na ushirikiano kunnufaishana kati ya nchi, hasa kati ya nchi za Kusini.

Ameongeza kuwa, China inathamini sana urafiki mkubwa ulioanzishwa na viongozi wa kizazi cha zamani wa nchi hizo mbili, na ingependa kuchukua maadhimisho ya mwakani ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kama fursa ya kuzidisha ushirikiano wa kiwango cha juu wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, kupanua ushirikiano katika sekta mbalimbali, na kuhimiza maendeleo imara na ya muda mrefu ya uhusiano wa wenzi wa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote kati ya China na Bangladesh.

Kwa upande wake Hasina amesema kwamba upande wa Bangladesh unapongeza mafanikio makubwa ya China katika kushinda mambo magumu na changamoto mbalimbali na kuendelea kuboresha ubora wa maisha ya watu chini ya uongozi mahiri wa Rais Xi.

“Bangladesh inatarajia kujifunza kutoka kwa uzoefu wa mafanikio ya maendeleo wa China, kupanua ushirikiano katika maeneo kama vile uchumi, biashara, miundombinu na kuondoa umaskini, na kuimarisha mabadilishano kati ya watu katika mambo ya vijana na utamaduni” amesema, akiongeza kuwa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja limehamasisha sana maendeleo ya kiuchumi na kuboresha maisha ya watu katika eneo hilo, na Bangladesh itaendelea kushiriki kwa hamasa katika ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja.

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina katika Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Julai 10, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina katika Jumba Kuu la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Julai 10, 2024. (Xinhua/Ding Lin)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>