久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Ushirikiano wa kimataifa katika kuhamia nishati mpya, mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi vyahimizwa kwenye Mkutano wa Davos

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2024
Ushirikiano wa kimataifa katika kuhamia nishati mpya, mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi vyahimizwa kwenye Mkutano wa Davos
Wanajopo wakihudhuria jukwaa dogo kwenye Mkutano wa Davos wa Majira ya Joto 2024 mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini-Mashariki mwa China, Juni 25, 2024. (Xinhua/Yang Qing)

DALIAN – Watu wanaohudhuria Mkutano wa 15 wa Mwaka wa Mabingwa Wapya, kwenye Mkutano wa Davos wa Majira ya Joto 2024, wametoa wito wa kuimarisha ushirikiano wa kimataifa ili kukabiliana na changamoto za kubadilisha muundo wa nishati na mabadiliko ya tabianchi.

Liu Zhenmin, mjumbe maalum wa China kuhusu mabadiliko ya Tabianchi amesisitiza kuimarisha ushirikiano na kuepuka hatua za kujilinda kiuchumi ili kuhimiza mabadiliko ya muundo wa nishati na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

“Ushirikiano wa kimataifa na kikanda unahitajika katika jitihada hii,” Liu ameliambia jopo la mjadala kwenye mkutano huo wa siku tatu uliofanyika katika mji wa Dalian, kaskazini mashariki mwa China.

Liu amekiri kuwa nchi za Asia, ambazo zina sehemu kubwa ya matumizi ya makaa ya mawe duniani, zinakabiliwa na changamoto kubwa katika kubadilisha muundo wa nishati yake kuwa nishati safi.

Amekanusha shutuma za nchi za Magharibi za uzalishaji kupita mahitaji ya soko katika nyanja ya nishati safi ya China, badala yake akisisitiza mahitaji makubwa ya kimataifa juu ya bidhaa za nishati mbadala.

"Tunahitaji kuendelea kuhimiza na kuunga mkono kampuni zetu ili kujenga uwezo na kuzalisha bidhaa zaidi," Liu amesema.

Maoni ya Liu yameungwa mkono na Kim Sang-hyup, mwenyekiti mwenza wa Kamisheni ya Rais ya Kusawazisha Utoaji wa Hewa ya Kaboni na Ukuaji wa Kijani kutoka Jamhuri ya Korea (ROK).

Kim amesisitiza uwezekano wa ushirikiano kati ya China, Japan na Jamhuri ya Korea katika kuendeleza mfumo wa ikolojia wa viwanda wa kijani.

Mazungumzo zaidi ya ushirikiano yanahitajika kwani ushirikiano huo unapaswa kupanuka hadi sehemu nyingine za dunia, zikiwemo ASEAN na nchi za Afrika, Kim amesema.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>