久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Waziri Mkuu wa China afafanua njia mpya za ukuaji wa uchumi wa kimataifa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024

DALIAN - Waziri Mkuu wa China Li Qiang alipohutubia mkutano wa wajumbe wote wa ufunguzi wa Mkutano wa 15 wa Mwaka wa Mabingwa Wapya, ambao pia unajulikana kama Mkutano wa Davos wa Majira ya Joto, katika mji wa pwani wa kaskazini mashariki mwa China wa Dalian siku ya Jumanne ametoa ufafanuzi wake juu ya jinsi ya kutafuta kwa pamoja vichocheo na njia mpya za ukuaji wa uchumi wa dunia, wakati ambapo dunia kwa sasa ikitishiwa na changamoto zinazoletwa na kujilinda kibiashara na maamuzi ya upande mmoja.

Utafutaji wa vichocheo vinavyofuata vya ukuaji haupaswi kuwa mchezo wa mmoja kupata faida wengine kupata hasara lakini unaolenga ukuaji wa watu wote kwa pamoja, Li amesema.

"Sera ya 'ua mdogo na uzio mrefu' haiwezi kukandamiza maendeleo ya wapingaji , lakini tu kufunga mikono na miguu ya wale wanaopendelea sera kama hiyo," Waziri Mkuu ameongeza.

Li amezitaka nchi mbalimbali kuanzisha mazingira yenye usawa na haki na yasiyobagua kwa uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia, kwenye msingi wa kulinda hakimiliki ya ubunifu.

Akijibu maswali ya Mwenyekiti Mtendaji wa Jukwaa la Uchumi Duniani Klaus Schwab, Li amesema kuwa katika hali halisi, mawazo mengi ya uvumbuzi yanapata ardhi yenye rutuba ya kuthibitishwa nchini China, ambapo mbegu za uvumbuzi mbalimbali zinaweza kupata kwa urahisi mazingira mazuri ya kustawi.

Katika miaka michache iliyopita, China imeunga mkono kwa nguvu kubwa utafiti na maendeleo ya teknolojia za kimsingi, imekuwa ikitilia maanani sana maendeleo ya nguvu ya mkakati wa kitaifa wa kisayansi na kiteknolojia, na kuhimiza kwa nguvu uvumbuzi wa viwanda, yote yakilenga kuongeza uwezo wa uvumbuzi asilia, amesema.

Amesema, China sasa ina kampuni zaidi ya 400,000 za teknolojia ya hali ya juu, pamoja na kampuni za ukubwa wa kati na ndogo zaidi ya 100,000 zilizobobea na za kisasa, ambazo ziinazalisha bidhaa za aina mpya na za kipekee.

Kwenye hotuba yake, Li ameeleza kuwa China imeweka mkazo katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kufanya juhudi za kuendeleza viwanda vya kutumia nishati mpya visivyoleta uchafuzi kwa mazingira.

Mkutano wa Davos wa Majira ya Joto unaoangazia kaulimbiu ya "Vichocheo vya juu Vinavyofuata vya Ukuaji", umeanza jana Juni 25 na utaendelea hadi Juni 27.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>