久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kuwekeza Xinjiang, China: Kwa nini inabidi uende huko kupanda farasi?

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 21, 2024

Maonesho ya ustadi wa kupanda farasi. (Picha na Li Long/People’s Daily Online)

Maonesho ya ustadi wa kupanda farasi. (Picha na Li Long/People’s Daily Online)

Wakati tu ambapo Mkoa wa Xinjiang, China unaingia kwenye msimu wake wa pilikapilika za utalii za mwezi Juni, Bustani ya Kale ya Farasi Pori ya Xinjiang (kwa ufupi inajulikana kama Farasi Pori) iliyopo Urumqi, mji mkuu wa mkoa huo imevutia ufuatiliaji wa watu wengi mtandaoni. Kwa kutegemea chapa yake ya “safari juu ya farasi”, watalii wanaweza kujionea kwa karibu utamaduni wa farasi, pamoja na kanivali ya magari ya farasi na maonesho ya ustadi wa kupanda farasi huko Xinjiang. Matokeo ya kunufaishana ya utamaduni, utalii, biashara na huduma ya chakula vinavutia watu wengi zaidi siku hadi siku.

Bustani ya Farasi Pori ni kituo kikubwa zaidi cha farasi wa Akhal-Teke nchini China, ikiwa na farasi zaidi ya 400 wa aina hiyo, na kumiliki farasi wa zaidi ya aina 18 kutoka nchi mbalimbali husika kama vile Ulaya na Asia.

Bustani hiyo yenye eneo la ukubwa wa mita za mraba zaidi ya 40,000 inajumuisha huduma za kutunza na kuzaliana kwa farasi, kuonesha farasi, mafunzo, mashindano ya farasi na kuonesha ustadi wa kupanda farasi.

Xinjiang ina rasilimali kubwa ya mbuga, na upekee wake wa kijiografia umeufanya mkoa huo uendeleze kwa kasi mambo ya farasi katika miaka ya hivi karibuni. Kwa sasa utunzaji na uzalianaji wa farasi wa Xinjiang unaongoza nchini China, mambo ya farasi yanastawi, na farasi wa Akhal-Teke wamekuwa utambulisho wa mambo ya farasi ya Xinjiang.

Chen Zhifeng, Mwenyekiti wa Kundi la kampuni za Farasi Pori amesema, utamaduni wa farasi wa Xinjiang ni faida yake. “Tunajitahidi kuendeleza kikamilifu utamaduni wa farasi, na kuueneza kwa kupitia utalii, utumbuizaji, na njia nyingine ili kufanya watu wengi zaidi waje Xinjiang na kuelewa simulizi kuhusu farasi.”

Farasi wa Akhal-Teke wakikimbizana kwenye mchanga wa bustani ya Farasi Pori. (Picha na Han Ting/People’s Daily Online)

Farasi wa Akhal-Teke wakikimbizana kwenye mchanga wa bustani ya Farasi Pori. (Picha na Han Ting/People’s Daily Online)

Katika miaka ya hivi karibuni, Farasi Pori imevutia ufuatiliaji wa watu kutoka nchi za nje. Watu kutoka Tajikistan, Kyrgyzstan, Azerbaijan na nchi nyingine wamekuja Farasi Pori kufanya shughuli za mabadilishano ya kiutamaduni. Farasi Pori imekuwa kituo cha mabadilishano ya utamaduni kando ya Njia ya Hariri.

Mambo ya farasi na utalii yamefungamana sana. Watalii wa ndani na nje ya China wamefurahishwa sana na Farasi Pori. Watalii mara kwa mara husema: “Ukienda Xinjiang, Farasi Pori ni sehemu ya lazima kutembelea!”

Maonesho ya kijadi ya desturi. (Picha na Han Ting/People’s Daily Online)

Maonesho ya kijadi. (Picha na Han Ting/People’s Daily Online)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>