久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yajiunga?na nchi nyingi kupinga vigezo?viwili vya haki za binadamu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 20, 2024

Wajumbe wakihudhuria mkutano wa 56 wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Uswisi, Juni 18, 2024. (Xinhua/Lian Yi)

Wajumbe wakihudhuria mkutano wa 56 wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Uswisi, Juni 18, 2024. (Xinhua/Lian Yi)

GENEVA - China imetoa hotuba kwa niaba ya nchi nyingi mjini Geneva siku ya Jumatano ikipinga vigezo viwili vya nchi fulani ambazo hutumia haki za binadamu kama kisingizio cha kuingilia mambo ya ndani ya nchi zinazoendelea.

Chen Xu, mwakilishi wa kudumu wa China katika ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN) huko Geneva na mashirika mengine ya kimataifa nchini Uswisi, ametoa wito kwa mifumo ya pande nyingi ya haki za binadamu kulinda haki na usawa na kutumika kama majukwaa ya mazungumzo ya kiujenzi na ushirikiano.

Chen amesema hayo alipokuwa akitoa taarifa ya pamoja kwa niaba ya Kundi la Marafiki kuhusu Uhimizaji na Ulinzi wa Haki za Binadamu kupitia Mazungumzo na Ushirikiano na kundi la nchi kwenye Mkutano wa 56 wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa.

Kila mtu ana haki za binadamu, huu ni utafutaji wa pamoja kwa binadamu, amesema Chen, huku akisisitiza kwamba Baraza la Haki za Kibinadamu na mifumo mingine ya kimataifa ya haki za binadamu lazima ishikilie haki na usawa, ifuate nia na kanuni za “Katiba ya Umoja wa Mataifa”, na kufuata kanuni zilizo za kawaida, zenye haki na kufuata hali halisi, zisizo za kisiasa na zisizolazimisha kuzichagua katika kazi na uendeshaji wao.

Pia amesisitiza kwamba mifumo hiyo inapaswa kupinga vigezo viwili, uonevu na uamuzi wa kibabe wa upande mmoja, na kuhakikisha kuwa inatumika kama majukwaa ya mazungumzo ya kiujenzi na ushirikiano kati ya nchi zote kwenye msingi wa usawa na kuheshimiana.

Taarifa ya pamoja imesisitiza kuwa baadhi ya nchi zinaingilia mambo ya ndani ya nchi zinazoendelea kwa kisingizio cha haki za binadamu huku zikifumbia macho na kukwepa ukiukwaji mbaya wa haki za binadamu ndani ya nchi zao na za nchi washirika wao, taarifa hiyo imesema, “Tunapinga vigezo hivyo viwili ".

Picha iliyopigwa  Februari 29, 2024 ikionyesha mwonekano wa nje wa ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Uswisi, Juni. (Xinhua/Shi Song)

Picha iliyopigwa Februari 29, 2024 ikionyesha mwonekano wa nje wa ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Uswisi, Juni. (Xinhua/Shi Song)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>