久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

OPEC+ yaongeza muda wa kupunguza uzalishaji mafuta ili kuunga mkono bei ya mafuta

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2024

Picha iliyopigwa Novemba 30, 2023 ikionyesha makao makuu ya Shirika la Nchi Zinazouza Petroli Nje ya Nchi (OPEC) huko Vienna, Austria. (Xinhua/He Canling)

Picha iliyopigwa Novemba 30, 2023 ikionyesha makao makuu ya Shirika la Nchi Zinazouza Petroli Nje ya Nchi (OPEC) huko Vienna, Austria. (Xinhua/He Canling)

VIENNA - Shirika la Nchi Zinazouza Petroli Nje ya Nchi (OPEC) na washirika wake, kundi linalojulikana kwa jina la OPEC+, limeamua kuongeza muda wa makubaliano ya sasa ya kupunguza uzalisaji mafuta kwa angalau hadi katika robo ya tatu ya mwaka huu ili kuongeza bei ya mafuta.

Kufuatia mkutano wa mtandaoni wa mawaziri wa mafuta na nishati wa OPEC+, OPEC imesema katika taarifa yake kwamba OPEC+ itaongeza muda wa vikomo vya mwaka huu vya uzalishaji mafuta kwa nchi wanachama wake hadi mwaka mzima wa 2025. Vikomo hivyo ni pamoja na kukatwa kwa mapipa milioni 2 kwa siku (bpd) kwenye malengo rasmi ya kiwango cha uzalishaji kilichokubaliwa awali mwishoni mwa Mwaka 2022.

Wakati vikomo vya uzalishaji vya 2025 kwa nchi za OPEC+ vinaendelea kuwa vilevile Mwaka 2024, kundi hilo limekubali Jumapili kuongeza kikomo cha uzalishaji cha nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu kwa 300,000 bpd hadi milioni 3.519, kwa mujibu wa taarifa hiyo.

Katika taarifa tofauti iliyotolewa kwenye tovuti ya OPEC, nchi nane wanachama wa OPEC+, yaani Saudi Arabia, Russia, Iraq, UAE, Kuwait, Kazakhstan, Algeria, na Oman zimesema zitaongeza muda wa kupunguza uzalishaji kwa hiari wa bpd milioni 1.65 hadi mwisho wa 2025.

Licha ya kushuka kwa bei ya mafuta, OPEC imedumisha makadirio yake ya ukuaji mkubwa wa mahitaji ya mafuta duniani wa bpd milioni 2.2 kwa Mwaka 2024 na bpd milioni 1.8 kwa Mwaka 2025 katika ripoti yake mpya ya soko.

OPEC+ inatarajiwa kufanya mkutano wake ujao wa mawaziri Mwezi Desemba.?

Picha iliyopigwa Machi 29, 2024 ikionyesha meli ikishusha mafuta kwenye kituo cha mafuta cha Eneo la Lanshan la Bandari ya Rizhao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Guo Xulei)

Picha iliyopigwa Machi 29, 2024 ikionyesha meli ikishusha mafuta kwenye kituo cha mafuta cha Eneo la Lanshan la Bandari ya Rizhao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Guo Xulei)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>