久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi Jinping aagiza kuhimiza ujenzi wa mambo ya kisasa katika kazi ya usalama wa umma

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 30, 2024

Viongozi wa chama na serikali Xi Jinping, Li Qiang, Cai Qi, Ding Xuexiang na Li Xi wakikutana na   wajumbe wa polisi wanaohudhuria mkutano wa kitaifa kuhusu kazi za usalama wa umma kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Mei 28, 2024. ( Xinhua/Ju Peng)

Viongozi wa chama na serikali Xi Jinping, Li Qiang, Cai Qi, Ding Xuexiang na Li Xi wakikutana na wajumbe wa polisi wanaohudhuria mkutano wa kitaifa kuhusu kazi za usalama wa umma kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Mei 28, 2024. (Xinhua/Ju Peng)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) siku ya Jumanne alipokuwa akikutana na wajumbe wa polisi wanaohudhuria mkutano wa kitaifa kuhusu kazi za usalama wa umma mjini Beijing ameliagiza jeshi la polisi kuhimiza ujenzi wa mambo ya kisasa katika kazi ya usalama wa umma.

Li Qiang, Cai Qi, Ding Xuexiang, na Li Xi, wote wajumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC, walihudhuria mkutano huo.

Akihutubia mkutano huo siku ya Jumatano, ofisa mwandamizi wa CPC Chen Wenqing amewataka polisi kuendelea kuwa watiifu, wasafi, na wako tayari kujitoa kwa moyo kazini.

Amewataka wasiache juhudi zozote katika kuzuia hatari na kuhakikisha usalama na utulivu, kuongeza sifa bora na ufanisi wa utekelezaji wa sheria, pamoja na imani ya umma juu yake, na kuimarisha nguvu ya jeshi la polisi kwa kupitia mageuzi.

Mkutano uliopita wa aina hiyo ulifanyika Mwaka 2019. Tangu wakati huo, mabadiliko makubwa yametokea katika kazi ya usalama wa umma ya China, ikiwa ni pamoja na kuboreshwa kwa utaratibu kwenye jamii, mkutano na waandishi wa habari uliofanywa hivi karibuni na Wizara ya Usalama wa Umma ya China ulisema.

Jeshi la polisi limeongeza nguvu za kupambana na uhalifu uliopangwa na utapeli wa kutumia simu na kadhalika, na kuifanya China kuwa moja ya nchi zenye usalama zaidi duniani.

Fahirisi ya watu wa China kujihisi kuwa usalama ilifikia asilimia 98.2 Mwaka 2023, ikilinganishwa na asilimia 87.55 Mwaka 2012.?

Chen Wenqing, mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mkuu wa Kamati ya  Siasa na Sheria ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, akitoa hotuba kwenye mkutano wa kitaifa wa kazi ya usalama wa umma uliofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Mei 29, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

Chen Wenqing, mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mkuu wa Kamati ya Siasa na Sheria ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, akitoa hotuba kwenye mkutano wa kitaifa wa kazi ya usalama wa umma uliofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Mei 29, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>